Technolojia inakua kwa kiasi kikubwa hivi sasa, hata spidi ya internet. Kuna baadhi ya watu bado wanapata shida katika suala zima la internet kwamba ina spidi ndogo kulingana na matakwa yao. teknolojia ndio iliyotuletea internet sasa kwa nn teknolojia inaongezeka lakini spidi ya internet ni ndogo hasa kwa bara la afrika.Kuna njia mbili za kuweza kutatua hili na mtumiaji itambidi achague njia moja kati ya mbili. Hapa inabaidi uchague ile yenye urahisi kwako japokua zote ni rahisi
NJIA ZA KUONGEZA KASI YA INTERNET
Kwanza kabla ya kuendelea mbele hebu angalia uwezo wa speed ya kompyuta yako hapa ili kujua kama mwishoni baada ya kutumia njia hizi utapata majibu tofauti
NJIA YA KWANZA
- Andika “gpedit.msc” katika kibox cha “Search for program and files” kwenye menyu ya windows na itatokea window nyingine ya Local Group Policy Editor
- Ndani ya window hiyo iliyotokea upande wa kushoto, tafuta Administrative templates chini ya Computer Configuration ibofye na utaona settings upande wa kulia
- bofya mara mbili (double click) Network na tafuta QoS Packet Scheduler na kisha fungua
- Orodha ya settings itatokea upande wa kulia. jaribu kufungua Limit reversible bandwidth window mpya itatokea lakini muda huu chagua disable katika machaguo yatakayotokea
- Bofya Apply alafu Ok
Hapo haina haja ya kuangalia spidi ya internet kama imeongezeka nna imani unaweza tuu kuhisi mabadiliko kama imeongezeka. lakini pia unaweza ukaangalia mabadiliko katika ile website ya speed test niliyokupa hapo awali
Post a Comment
YOUR COMMENTS