0








Kama unaamini kuwa huyo uliyenaye ni wa kufa na kuzikana, basi tazama baadhi ya dalili hizi;


1.Unamwamini.

2. Unamhurumia.

3. Unakasirika anaposengenywa.

4. Anaelewana na rafiki zako.

5. Unawasahau rafiki zako.

6. Unamsahau mpenzi wako wa zamani.








Post a Comment

YOUR COMMENTS

 
Top