Hii imetokana na davido kusema watanzania wamedanganya tena na kupata tuzo tena yani balaa la mvua yamatusi likamunyeshea kupitia mitandao ya kijamii ya twitter na instagram na hii imepelekea watanzania wote kuanzisha kampeni ya #UNFOLLOWDAVIDO,
soma tweet za davido pamoja na kampeni #Unfollowdavido
Post a Comment
YOUR COMMENTS