Maisha ni kupambana usikate tamaaa, usione aibu kutafuta na kufanya kazi yoyote halali itakayokupatia kipato halali, Jifunze kuvumilia pia muabudu mungu wako na uamini one day yes na tambua hakuna aliyeanza moja yan wote tumeanza na sifuri na wale wanaokudharau watautambua umuhimu wako na kuhitaji msaada wako.
Heshimu kila wazo unalopewa na wenzako yan marafiki au ndugu zako na pia uyachague mawazo mazuri uyafanyie kazi na mabaya uyaache yan hapa mambo ujitenga kama mafuta na maji, Na kua muaminifu kwa jamii yako na pia heshimu mkubwa kwa mdogo
huu ni ushauri wangu kwako na unatoka moyoni.
Post a Comment
YOUR COMMENTS