AJALI HII IMETOKEA MAENEO YA UNGUMALWA AJALI HII IMEUWA WATU WAWILI NA WENGINE KUJERUHIWA NA HII IMESABABISHWA NA TAIRI LA MBELE UPANDE WAKUSHOTO KUAPASU, BUS HILI LILIKUA LINATOKEA MOSHI KUELEKEA MWANZA.
"MUNGU AZIPUMZISHE ROHO ZA MAREHE MAHALA PEMA PEPONI"
Post a Comment
YOUR COMMENTS