Nchini Tanzania kuna maeneo machache ambayo baadhi ya watu wake hawana uelewa thabit wa kutumia mipira ya kiume(Condoms) kiasi ambacho mpira mmoja unaweza kutumiwa na vijana watatu hadi wanne kwa kubadilishana baada ya kuusafisha na kuanika juani.
Hali hiyo imeelezwa kuwa chanzo kingine cha kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi.
Kijana mmoja wa huko wilaya ya Longido kaskazini mwa
Post a Comment
YOUR COMMENTS