Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga.
Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa.
Manyara usipoua simba we shoga.
Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka.
Mwanza mtoto mchanga wa siku 1 anapewa ugali sio maziwa.
Kagera huko hata barabara ya vumbi wanaita flyover.
Kigoma kati ya watu 10 basi 8 sio watanzania.
Shinyanga kuokota hirizi ni kama kuokota jani la muembe uchawi no stress
Tabora wasomali wengi kuliko waswahili
Dodoma mtoto anazaliwa kanyoosha mikono.anajifunzia uomba omba tumboni.
Rukwa hawa hata hawajui km wapo tanzania
Mbeya ukinywa chai usitumie dk. Kumi la sivyo inaganda.
Iringa kujinyonga ni ushujaa.
Morogoro wanaamini wao ni wajanja kuliko dsm
Pwani hawa ni mgambo wa jiji la dsm.wanalinda mkoa.
Lindi mkoa mkuubwaaa ila woote ni hifadh ya wanyamapori.
Mtwara usipokula panya unaonekana mwanga
Ruvuma huko naskia hawatumii tsh wanatumia kwacha.
DAR ES SALAAM kila mtu tapeli. Unaweza kujitapeli hadi nafsi yako
Kilimanjaro ikifka december mji unajaa. Cjui hata watu wanatoka wap?
Singida hapanaga tofaut na jangwa la sahara.full vumbi
Post a Comment
YOUR COMMENTS