1. Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria,
nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
2. Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
3. Nisiposikia sauti yake naumia!
4. Nisipopata SMS nakasirika!
5. Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na
sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!
6. It hurts so much that we are apart.
Ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn
naishia kukumbatia mito.
Post a Comment
YOUR COMMENTS