Katika kinyang'anyiro cha mechi za ligi kuu nchini Uingereza,Arsenal itakuwa ugenini West Bromwich,Liverpool ikipimana nguvu na Stoke City nayo Manchester ikiialika Hull City katika uwanja wa nyumbani wa Old Trafford.Chelsea ambayo inaongoza jedwali la ligi ya Uingereza itakuwa ugenini stadium of light ikichuana na Sunderland.
Mechi za ligi kuu ya Uingereza siku ya Jumamosi
West Brom v Arsenal 15:45
Burnley v Aston Villa18:00
Liverpool v Stoke 18:00
Man Utd v Hull 18:00
QPR v Leicester 18:00
Swansea v Crystal Palace 18:00
West Ham v Newcastle 18:00
Sunderland v Chelsea 20:30
Mechi zote kuchezwa saa za afrika masharik
Post a Comment
YOUR COMMENTS