BRAND NEW : MOYONI by NAVY KENZO | DOWNLOAD AND LISTEN (AUDIO) 19:21 0 Muziki A+ A- Print Email Wimbo mpya kutoka kwa Navy Kenzo unaitwa MOYONI na unatoka kwenye album mpya ya NIROGE. Wimbo unaongelea wapenzi wawili ambao wanataka kuchukua hatua nyingine kubwa katika uhusiano wao. Wimbo umekuwa produced na Nahreel mwenyewe.
Post a Comment
YOUR COMMENTS